| Intro | Politicus uit Tanzania |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | male |
| Birth |
8 August 1981 |
| Age | 39 years |
| Politics | Chadema |
Pascal Yohana Haonga (amezaliwa 8 Agosti 1981) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mbozi kwa miaka 2015 – 2020.