| Intro | Tanzanian politician |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Birth |
4 February 1963 |
| Age | 57 years |
Mzee Ngwali Zubeir (amezaliwa tar. 4 Februari 1963) ni mbunge wa jimbo la Mkwajuni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania. Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia
- Wabunge wa Tanzania