| Is | Politician |
| From |
Turkey Tanzania |
| Type | Politics |
Leonidas Tutubert Gama ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM) ambacho ni chama tawala.
Amechaguliwa kuwa mbunge wa Songea Mjini kwa miaka 2015 – 2020.