| Intro | Politicus uit Tanzania |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | male |
| Birth |
22 March 1985 |
| Age | 35 years |
| Politics | Party of the Revolution |
Jumaa Hamidu Aweso (amezaliwa 22 Machi 1985) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Pangani kwa miaka 2015 – 2020.