| Intro | Tanzanian politician |
| Is | Politician |
| From | Tanzania |
| Type | Politics |
| Gender | male |
Abdallah Majurah Bulembo ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ameteuliwa kuwa mbunge kwa Uteuzi wa Raisi kwa mwaka 2015 – 2020.